Sababu kushuka soko la ushindani Tanzania zatajwa

Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania Dkt Abdallah Kigoda.

Mbinu zilizopitwa na wakati katika kilimo, uhuru wa masoko yasiyo na ubora na viwango na ukosefu wa elimu imeelezwa kuwa ndio sababu ya kushuka kwa soko la ushindani kwa Tanzania katika Afrika Mashariki.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS