Mchakato wa Katiba usitishwe - JUKATA
Jukwaa la Katiba nchini Tanzania (JUKATA) limeitaka serikali kusitisha mchakato unaoendelea wa kutafuta katiba mpya kwa madai ya kuwepo kwa joto kali la kisiasa kiasi cha kufanya mchakato huo uonekane dhahiri kwamba umekwama.

