Messi ni mwanamichezo bora wa mwaka Jarida maarufu la TIME kutokea nchini Marekani, limemtaja mchezaji wa klabu ya Inter Miami na timu ya taifa ya Argentina Leo Messi. kama mwanamichezo bora wa mwaka. Read more about Messi ni mwanamichezo bora wa mwaka