Xi Jinping afanya mkutano na Putin na Khurelsukh
Rais Xi Jinping, pamoja na wenzake wa Urusi Vladimir Putin na Mongolia Ukhnaa Khurelsukh, wamefanya mkutano wa saba wa wakuu wa nchi hizo tatu leo asubuhi ya tarehe 2 Septemba, kwenye Jumba la Mikutano ya Umma mjini Beijing.