Korea Kusini yatangaza Uchaguzi Mkuu Korea Kusini itafanya uchaguzi wa rais tarehe 3 Juni, baada ya mahakama ya kikatiba ya nchi hiyo kuunga mkono hoja ya kumwondoa aliyekuwa Rais Yoon Suk Yeol. Read more about Korea Kusini yatangaza Uchaguzi Mkuu