Nepal yaondoa marufuku ya mtandao baada ya vifo 19 Nepal imeondoa marufuku ya mitandao ya kijamii baada ya kusababisha mapigano kati ya waandamanaji na polisi ambayo yamesababisha vifo vya takriban watu 19. Read more about Nepal yaondoa marufuku ya mtandao baada ya vifo 19