Kampuni India yatoa matrekta 10 kwa wakulima TZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete , Alhamisi, Juni 18, 2015, amepokea matreka makubwa 10 ambayo yametolewa na Kampuni ya New Holland Agriculture ya India kama zawadi kwa mkulima wa Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS