Planet Bongo

Ni muda mrefu sana tangu apotee kwenye Game ya Muziki wa Bongo Flava, huyu hapa Q CHIEF ndani ya PLANET BONGO ya EATV, unafahamu kuhusu 'TATOO' aliyojichora msanii huyo? majibu yako yote ni Jumatatu hii saa 3:00 Usiku ndani ya PLANET BONGO usipitwe.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS