Sugu ashinda kesi ya malezi ya mwanae

Sugu na mwanae Sasha

Korti ya Manzese imeamuru mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu akabidhiwe mtoto wao Sasha Desderia kumlea, kufuatia kesi aliyofungua dhidi ya mke wake wa zamani Faiza Ally.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS