Dance100% sasa ni Don Bosco Upanga
Usahili wa pili wa mashindano haya makubwa kabisaya Dance 100% 2015 utafanyika katika viwanja vya Don Bosco Upanga Jumamosi tarehe 01 Agosti mwaka huu, ambapo makundi mengine matano yatasakwa kuingia katika michuano hiyo kwa mwaka huu.