Wakili Madeleka akata rufaa dhidi ya Mahakama Kuu
Wakili Peter Madeleka amefungua rufaa akihoji misingi ya kisheria iliyotumiwa na Mahakama Kuu katika kuamua shauri hilo, ikiwemo tafsiri ya mamlaka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kufuta sherehe za maadhimisho ya Uhuru.

