22 Stars kuingia kambini Jumapili kuelekea Uturuki
Kikosi cha wachezaji 22 cha Timu ya Taifa Stars kunatarajia kuondoka Jumapili kuelekea nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za Mataifa ya Afrika AFCON dhidi ya Nigeria.

