Serikali imesema imejiandaa matumizi mabaya
Serikali imesema imejianda kikamilifu kukabiliana na matumizi yote mabaya ya mitandao hasa katika mitandao ya kijamii katika kipindi hiki cha kuelekea katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika oktoba 25 ili kuepuka Uchochezi ,vurugu na kuhatarisha Amani.