Mwashiuya aiadhibu timu yake ya zamani Kemondo Fc

Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beki wa KMKM, Kassim Abdulkadir

Winga Godfrey Mwashiuya ameiadhibu timu yake ya zamani, Kemondo kwa kuifunga mabao mawili katika ushindi wa 4-1 hapo jana Uwanja wa CCM Mbozi, Mbeya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS