UKIMWI tishio kwa watoto wa Kike Mbeya
Maambukizi ya virusi vya ukimwi kwa vijana wa kike wenye umri wa kati ya miaka 15 na 39 mkoani mbeya yameongezeka kwa zaidi ya mara tatu ikilinganishwa na vijana wa kiume wenye umri kama huo katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.