Kijana kura yako moja ni muhimu sana. Nawasihi watanzania juu ya amani yetu, mataifa mengi sana yanatamani amani hii tufanye uchaguzi wetu kwa amani kijana ni zamu yako. Read more about Kijana kura yako moja ni muhimu sana.