Tusikubali kupokea rushwa, rushwa ni adui wa maendeleo. Napenda kuwaambia wana nchi tuwe makini kipindi hiki cha uchaguzi, tuchaguwe viongozi bora watakao tuletea mabadiliko katika nchi yetu. #Zamuyako2015 Read more about Tusikubali kupokea rushwa, rushwa ni adui wa maendeleo.