TLP tutaondoa ubaguzi kati ya matajiri na maskini
Mgombea Urais kutoka chama cha TLP Macmillan Lyimo amesema wataondoa ubaguzi uliopo kati ya watoto wa maskini na wale wa viongozi na matajiri, ili waweze kupata elimu sawa, iwapo watafanikiwa kuchaguliwa kuingia madarakani