Tunahitaji kiongozi atakaweza kukuza uchumi wa nchi yetu. Watanzania tujitokeze kwa wingi 25 octoba kuchagua kiongozi mwenye uwezo wakuondolea umasikini na kutupatia elimu kwani elimu ni ufunguo wa maisha. Read more about Tunahitaji kiongozi atakaweza kukuza uchumi wa nchi yetu.