Watanzania watakiwa kufuata misingi ya Mwl.Nyerere
Misa maalum ya kumwombea baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyefariki dunia Oktoba 14 mwaka 1999 imefanyika leo mkoani Dodoma ambapo katika ibada hiyo watanzania wamehimizwa kushiriki katika uchaguzi mkuu kwa amani na utulivu.