Wadau wa habari waahidi kudumisha Amani
Wadau wa habari wakiwemo viongozi wa dini,waandishi wa habari,asasi za kiraia na taasisi za serikali wameahidi kushirikiana pamoja kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani na utulivu sambamba na kutoa elimu kwa wapiga kura kutumia haki yao ya msingi