Daz Baba akandia mastaa wanaoigiza Daz Baba Star mkongwe wa Bongo Flava Daz Baba ambaye anajivunia uhalisia zaidi katika kufanya maisha yake ya kila siku, amesema kuwa wasanii wengi wanaishi maisha ya kuigiza kuongopea watu, kitu ambacho hakina maana. Read more about Daz Baba akandia mastaa wanaoigiza