Tundaman azima matarajio ya mtoto
Star wa muziki Tundaman, ametolea ufafanuzi uvumi unaoendelea kusambaa mtaani kuwa yeye na mpenzi wake wanatarajia mtoto, chanzo kikiwa ni kuchanganywa na mkakati wake wa kutangaza rekodi mpya kutoka kwake ambayo itafahamika kwa jina Mama Kija.