BASATA hawajajibu barua yangu - ROMA

Lile sakata linalomuhusu Msanii Roma kufungiwa nyimbo yake ya Viva Roma na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) limekuja na sura nyingine baada BASATA kutojibu barua waliyoandikiwa na Roma kutaka kujua kwa nini wimbo wake umefungiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS