Makaidi wa NLD afariki dunia Mwenyekiti wa chama cha NLD Dkt Emmanuel Makaidi ambaye pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Masasi na mwenyekiti mwenza wa UKAWA, amefariki dunia mchana wa leo mkoani Mtwara kwa shinikizo la damu. Read more about Makaidi wa NLD afariki dunia