Sekta ya utalii kunufaika na uwezekezaji Tanzania
Tanzania inatarajia kupata miradi ya uwekezaji itakayoliingizia taifa zaidi ya Dola za Marekani milioni 1000 katika sekta za utalii na uhifadhi nchini ikiwa ni awamu ya pili ya mkakati wa uwekezaji nchini katika Sekta hiyo.