Serikali yazindua utoaji wa elimu kwa TEHAMA
Wizara ya elimu nchini Tanzania imezindua utoaji wa elimu kwa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ambayo inatarajiwa kuanza kutumika kwa wanafunzi wa shule za msingi kuanzia darasa la kwanza mpaka la tatu.