Vyuo 16 Afrika vyakutana kupanga njia ya kujiajiri
Vyuo vikuu 16 vya nchi za Afrika, vimekutana jana Jijini Arusha, kupanga mikakati jinsi ya kuwasaidia vijana wanaohitimu katika vyuo hivyo, waweze kujiajiri katika ujasiliamali, badala ya kusubiri ajira.