Witnesz Kibonge apiga vita ubonge
Rapa Witnesz a.k.a Kibonge Mwepesi ambaye kando ya muziki hivi sasa anajihusisha na kusaidia watu wenye unene kupungua, ametolea ufafanuzi namna ambavyo anakabiliana na shughuli hiyo, wakati yeye binafsi akiwa na umbo lenye unene na uzito mkubwa.