Sijapewa barua ya kufungiwa wimbo na BASATA - Roma
Msanii wa Hip Hop kutoka Bongo Roma Mkatoliki, amesema yeye hana taarifa rasmi za kufungiwa kwa wimbo wake aliouchia hivi karibuni wa Viva roma, ambao umeleta utata mkubwa kwa jamii kutokana na mashairi yake.