Tanzania ya 2 kuwa na chuo cha jeshi cha sayansi
Tanzania imekua nchi ya pili barani Afrika kuwa na chuo cha kijeshi cha sayansi za tiba chenye ukubwa na vifaa vya kisasa vya kutolea mafunzo ya sayansi za tiba ngazi ya shahada kwa wanajeshi wa hapa nchini na wale wanaotoka nchi mbalimbali za SADC