Q Chief kumwaga 'Chawa' baada ya uchaguzi
Nyota mkongwe wa Bongofleva, Q Chief amesema kuwa kutokana na kuelewa hamu kubwa ya watanzania sasa kutaka kumjua Rais wao, ataleta mapinduzi kipindi kifupi baada ya hilo kwa kuachia track yake iitwayo chawa.