NMB yazidi kutanuka kibiashara

Mkurugenzi Mkuu na Mtendaji Mkuu wa NMB Bi. Ineke Bussemaker

Licha ya kupata mafanikio ya kifedha katika miaka 10 tangu ibinafsishwe benki ya NMB imeongeza idadi ya wateja wake kutoka laki sita mwaka 2005 hadi kufikia wateja milioni 2 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS