Watanzania watakiwa kuwasomesha watoto VETA

Mwenyekiti wa bodi ya vyuo vya Veta nyanda za juu Kusini inayojumuisha mikoa ya Iringa, Ruvuma na Njombe,Bw, Kabaka Ndenda

Watanzania wametakiwa kuwapeleka watoto wao katika vyuo mbalimbali vya ufundi stadi kwa kuwa ndio elimu inayozalisha ajira nyingi kuliko vyuo vikuu hapa nchini ili kuepukana na tatizo la ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS