Naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo - Roma Lile sakata la kufungiwa kwa wimbo wa msanii wa Bongo Flava Roma mkatoliki wa ViVa Roma, bado linaendelea kuwa hewani baada ya Roma leo kusema kwamba anaiamini BASATA na hawawezi kuufungia wimbo wake. Read more about Naamini BASATA hawawezi kunifungia wimbo - Roma