Wanne gofu waenda Mombasa kwa mashindano Wachezaji wanne wa Timu ya taifa ya Gofu ya Tanzania wameondoka leo nchini kuelekea mombasa nchini kenya kwa mashindano ya Kimataifa ya kirafiki yatakayofanyika kwa siku 2 wikiend hii. Read more about Wanne gofu waenda Mombasa kwa mashindano