Mgombea Urais aliesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa.
Mgombea urais aliesimamishwa na Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA, kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa ametaja vipaumbele vyake ndani ya siku 100 endapo akichaguliwa kuwa Rais wa Tanzania Oktoba 25.