Rais Museveni kupewa sapoti na wasanii
Nyota wa muziki wa nchini Uganda, Jose Chameleone, Moze Radio & Weasel, Bebe Cool, na Rema kati ya wengine wengi, wameunganisha nguvu zao kutoa sapoti kwa maandalizi ya kampeni za kugombea urais, wakiwa nyuma ya rais Yoweri Museveni.