Serikali iweke wazi mikataba ya rasilimali -Vijana Serikali imetakiwa kuweka wazi mikataba, ili kweza kushirikisha wananchi katika utumikaji wa rasilimali zilizopo nchini, na kuwafanya kuwa moja ya wamiliki wa rasilimali hizo. Read more about Serikali iweke wazi mikataba ya rasilimali -Vijana