Inspekta ahofia Bongo Fleva kupotea

Inspekta Haroun

Rapa mkongwe wa Bongo Flava, Inspekta Haroun amesema kuwa licha ya wasanii wapya hususan wale wanaoimba kufanya vizuri katika soko la muziki sasa, wanahatarisha kupotea kwa alama halisi ama misingi iliyokuwepo katika Bongo Flava kutokana na kuigana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS