Mwongozaji mahiri wa video za wasanii wa muziki nchini Abbas Adam
Mwongozaji mahiri wa video za wasanii wa muziki nchini Abbas Adam hivi sasa amewekeza nguvu zake katika kuinua zaidi vipaji vya wasanii ambapo anatarajia kufanya kazi na staa wa muziki nchini Chemical.