Mbowe amlilia Mtikilia asema alikua mpiganaji
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema amepokea kwa masikitiko na majonzi makubwa taarifa za kifo cha mwanasiasa mkongwe katika siasa za mageuzi nchini, Mwenyekiti wa DP Mchungaji Christopher Mtikila.