Utendaji Sekta ya Elimu na Afya hauridhishi-REPOA

Mkurugenzi wa Utafiti wa Utawala bora na huduma za kijamii toka Repoa Dr. Lucas Katera.

Pamoja na Serikali kuongeza bajeti ya elimu na afya katika kipindi cha miaka kumi iliyopita lakini ufanisi wa utendaji katika sekta ya elimu na afya nchini sio wa kuridhisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS