Watanzania waliofariki Hijja wafikia Nane Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi Ali amesema mpaka sasa ni watu 8 ndio wameripotiwa kufa katika tukio la mahujaji kukanyagana huko makka nchini Saudi Arabia wakati wa Swala ya hijja, Read more about Watanzania waliofariki Hijja wafikia Nane