Uswazi

Unaujua utamu wa pilau la uswahilini? Uandaaji wake je? viungo gani vinatumika kunogesha..? lakini pia, unajua utofauti kati ya pilau la uswazi na pilau la kwenye hoteli kubwa? Usipate tabu ni Jumapili hii saa 01:00 Usiku, USIKOSE

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS