BASATA yaipongeza PLANET BONGO Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekipongeza kipindi cha Planet Bongo kinachorushwa na East Africa Radio, kwa kutoa elimu kwa wasanii juu ya masuala yao ya msingi ikiwemo haki miliki na mengineyo. Read more about BASATA yaipongeza PLANET BONGO