Kupost mali ni kuonesha shukrani - Rich Mavoko Msanii Rich Mavoko amesema kitendo cha watu maarufu kupost mali zao au vitu vya thamani kwenye mitandao ya kijamii, ni moja ya kuonyesha shukran kwa watu waliomsaidia mpaka kufikia hapo alipo. Read more about Kupost mali ni kuonesha shukrani - Rich Mavoko