Msanii mkongwe wa muziki nchini Mzee Ally Zahir Zorro
Msanii mkongwe wa muziki hapa nchini Mzee Ally Zahir Zorro amezungumza kwa niaba ya wasanii wakongwe na wale ambao hawajahusishwa katika kampeni za kisiasa kwa upande wowote licha ya kuwa na nia hiyo.