Mitandao Ya Kijamii ni Kazi Pia - Idris Sultan Mshindi wa shindano la Big Brother Africa, Hotshots Idris Sultan amesema haoni shida kutumia muda wake mwingi katika mitandao ya kijamii kwa kuwa kwake ni sehemu mojawapo ya kazi. Read more about Mitandao Ya Kijamii ni Kazi Pia - Idris Sultan