Live Show itapaisha sana Bongofleva- Mzungu kichaa Mwanamuziki mashuhuri wa Bongofleva mwenye asili ya nchini Denmark, maarufu kama Mzungu Kichaa amesema kufanya Live Show itasaidia zaidi kuipeleka mbali Bongofleva Kimataifa. Read more about Live Show itapaisha sana Bongofleva- Mzungu kichaa